"Afrika ukifanikiwa basi ndugu na jamaa wanadhani kupewa pesa ni haki yao" Osimhen
🎙Victor Osimhen: "Nilikuwa nikituma pesa rafiki yangu mmoja wa utotoni lakini siku moja aliniambia kuhusu biashara anayotaka kuanzisha na anahitaji msaada wa kifedha. Nilimtumia €5k lakini hakuithamini na hata...
Masaa 48 baada ya Victor Osimhen kutangazwa kama mchezaji mpya wa Galatasaray, Napoli imepoteza zaidi ya wafuasi milioni 1.2 kwenye Instagram baada ya Victor Osimhen kuondoka katika klabu hiyo.
Wakati huo pia Klabu ya Galatasaray imepata wafuasi zaidi ya milioni 2 kwenye Instagram ndani ya saa...
Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao.
Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.