valencia

  1. Melubo Letema

    Mwanariadha Simbu aweka muda bora 2:04:38 Valencia Marathon 2024

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi 4 kwa muda wa saa mbili , dakika 4 na sekunde thelathini na nane ( 2:04:38 PB) na kuweka muda bora zaidi ya uliopita wa (2:05:39 huko China) kwenye mbio za Valencia Marathon 2024 huko Valencia, Uhispania. Mashindano hayo yamefanyika...
  2. uhurumoja

    Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

    Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi. Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni...
  3. DR Mambo Jambo

    Kwanini Jude Bellingham amepewa Kadi nyekundu na mchezo ulikuwa umekwisha malizika?

    Refareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia. Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli...
  4. D

    Mwanariadha SISAY LEMMA wa Ethiopia avunja course record ya Valencia Marathon TRINIDAD ALFONSO mapema hii leo..

    Sisay Lemma mwanariadha kutoka Ethiopia aweka muda mpya wa saa 2 dakika 1 na sekunde 48(2:01:48) Valencia Marathon 2023, baada ya kuipiku kwa sekunde tano record aliyoiweka Kelvin Kiptum mwaka jana 2022(saa 2:01:53), bila kumsahau mtanzania Gabriel Geay alishika nafasi ya 5 katika shindano hili...
  5. MamaSamia2025

    Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon

    Mtanzania avunja rekodi kwenye mbio za Valencia Marathon Leo tarehe 4/12/2022, mtanzania Gabriel Geay (26) aweka rekodi mpya ya taifa kwa mbio za km 42 (Marathon) huko Valencia, Spain. Geay kamaliza mbio hizo akiwa wa pili kwa muda wa masaa 2:03:00 ambayo ni muda wake binafsi bora zaidi pia...
  6. Frumence M Kyauke

    Griezmann anatoka kwenye benchi na kuipa Atletico ushindi dhidi ya Valencia

    Griezmann anatoka kwenye benchi na kuipa Atletico ushindi dhidi ya Valencia Antoine Griezmann aliingia akitokea benchi na kuipa Atletico Madrid ushindi wa 1-0 wa LaLiga dhidi ya Valencia siku ya Jumatatu huku kikosi cha Diego Simeone kikiibuka na kipigo chao kisichotarajiwa cha nyumbani kutoka...
  7. JanguKamaJangu

    Valencia yamtangaza Gennaro Gattuso kuwa kocha wao mpya

    Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa Valencia na kusaini mkataba wa miaka miwili Kiungo wa zamani wa AC Milan mwenye umri wa miaka 44 amekuwa hana timu tangu Mei 2021 alipoondoka Napoli baada ya kuiongoza kushinda taji la Coppa Italia Mwaka jana alitajwa kupewa nafasi ya kuifundisha...
  8. I

    Barcelona tumeumizwa tena. Ukuta wetu ni mbovu!

    Barcelona wenzangu Valencia wametupiga 2-1 mchezo wa fainali kombe la mfalme, nilivyoyaona magoli yote mawili tuliyofungwa ni uzembe wa wazi wa defenders ukiongozwa na Pique, hivi lini tutaimarisha ukuta wetu? Huyu Pique anasubiri nini kutimuliwa? Ameshafungisha goli nyingi hadi sasa lakini...
Back
Top Bottom