Naingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha hapa Dar sijapata kuona. Tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki.
Serikali ijiandae kukabiliana na athari za mafuriko zitakazosababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka
Mara ya mwisho...
Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.
Soon kunakucha.
Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha .
Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....
Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
Mfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua.
Kisa hiki cha ajabu kimetokea nyumbani kwake Kimara B, usiku wa kuamkia leo mvua ilipokuwa ikinyesha.
Jamaa huwa anapenda sana kucheza cheza kwenye mvua, alimtoroka mke wake kitandani, kisha akatoka nje na kuanza...
Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake
Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu...
Wakati wengine tukiendelea kusubiri mwama mpya, Auckland New Zealand tayari walishaanza mwaka 2024 masaa 2 yaliyopita.
Auckland wako mbele yetu zaidi ya Masaa 8, GMT+13.
https://twitter.com/AP/status/1741427952116506698?s=19
Wakuu habari.
Kama nilivyowasanua, jana kuwa nimeanza pep within 72 hrs, aisee usiku wa leo nimeota ndoto za ajabu sana.
Nimeamka hapa mwili mzima una nuka pep TLD.
Aiseee kama pep ikiisha nikapima nikawa negative mm na ngono itakuwa ni maji na moto nimekoma.
Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani.
Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo
Uko wapi mdau?
Mshana Jr
LIKUD
The Boss
Extrovert
cocastic
Nifah
dronedrake
The only
Na wengine wengi
USIKU KAMA MCHANA!, RUHORO AGAWA TV BUNGE LA KAHAWA - NGARA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara.
Lengo kubwa ni...
Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea?
Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta.
Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit.
Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili.
"Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3).
Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja...
Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule.
Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa.
Nguo za zamani hazitupwi.
Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳.
Mshikamawili moja umponyoka.
Usiku huu hapa Dar kuna joto lisilo la kawaida...
Joto ni kali sana, huku kukiwa hamna kabisa upepo unaovuma...
Kwa nijuavyo, kwa hili fukuto la joto, kinachofuata ni mvua kubwa sana.
Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu.
Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.