udom

  1. L

    Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
  2. Ushimen

    UTUMISHI Jobs At TAFIRI, CBT, TAFORI, NHC, UDOM & TIRA, March 2021- (14 Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza hapo chini kudownload document PDF: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI PDF APPLICATION INSTRUCTIONS
  3. MGOGOHALISI

    NMB tawi la UDOM mjirekebishe

    Yaaani watu tumejaa foleni wafanyakazi wanapiga stori huku wamemweka mtu mmoja dirishani. Hata kama mmetoka sikukuu mjue muda wa kazi huu. Naandika uzi huu nikiwa kwa foleni inakera sana.
  4. GENTAMYCINE

    Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili. Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
  5. emanuel joseph

    Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM

    Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
  6. luofe

    Msaada jinsi yaku cancel admission UDOM

    Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom. Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili niombe upya
  7. P Accountant

    Msaada unaitajika wa namna ya ku unconfirm selection UDOM

    Husika na kichwa hapo juu. Inawezekana ku unconfirm selection kwa chuo cha UDOM? Maana katika account ya application hawaonyeshi sehemu ya ku edit. Kuna mdau alitaka aende Mzumbe, huku tayar kathibitisha UDOM. Nawasilisha.
Back
Top Bottom