uchaguzi zanzibar

  1. Mindyou

    Pre GE2025 Mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura kwa awamu ya pili waendelea Zanzibar. Changamoto "ndogondogo" zajitokeza!

    Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza baada ya kutembelea vituo vya uandikishaji Wilaya ya...
  2. M

    Pre GE2025 Mzanzibar: Mitano kwa Rais Mwinyi ni kidogo, bora mpaka afe

    Mzee huyo anasema Rais Mwinyi kwa miaka 60 iliyopita hajatokea kama yeye, ameongeza kuwa shida yake ni maendeleo na aliamini kuwa wakipata uongozi mpya basi watayapata, lakini bahati mzuri hayo maendeleo wameyapata kupitia kwa Mwinyi. Amesema kuwa, Hayati Maalim Seif alisema wazanzibar wakimpa...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yakamilisha mchakato wa kutoa elimu kwa wananchi Zanzibar. Mchakato wa uandikishaji umeanza rasmi leo!

    Wakuu, Kwa wiki karibu yote iliyopita huko visiwani Zanzibar, tume huru ya taifa ya uchaguzi ilikuwa kwenye mchakato mzito wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na namna ya kuhamisha taarifa zao iwapo mwananchi atahitaji. Baadhi ya...
Back
Top Bottom