Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ?
Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
Wakuu,
Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.
Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Haya ndiyo maneno...
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki
Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024
Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
Kadhalika, wameishukuru...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini.
Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es salaam.
Amesema: "Bila...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki:
1. Elimu ya Mpigakura: Wananchi wanapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu haki zao za kupiga kura, mchakato wa uchaguzi, na umuhimu wa kushiriki kwenye uchaguzi. Hii...
Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao...
Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa.
Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na kiuchumi. Kupitia kifo cha KANU;
1. Walipata katiba nzuri
2. Wakapata tume huru ya uchaguzi
3. Wakapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.