trump vs zelensky

  1. Venus Star

    Uchambuzi wangu baada ya kuona mnyukano ya Trump na Zelenskyy

    Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani ni Security Guarantee. Maana yake anamtaka USA aingie direct conflict na Russia. Trump alikuwa...
Back
Top Bottom