Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank.
Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo.
Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu.
Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa huduma mfano zahanati,vituo vya afya,hospitali(wilaya,mkoa na rufaa), Taasisi za Elimu(shule za msingi...
Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama.
Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
Toilet paper na tissue paper hata kama baadhi ya wakati hutengenezwa kwa maumbo sawa, hazifanani matumizi.
Toilet paper imetengenezwa kuyeyuka haraka majini, hivyo kuifanya iwe salama kwa mabomba na mifumo ya maji taka. Toilet paper imetengenezwa kwa makusudi ya kujisafisha baada ya kutumia...
Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox.
NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo.
Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara.
Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara.
Mambo ya tohara yapo...
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.
Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua.
Na mhe. Rafael...
Wazungu wameamua kutuletea smart toilet. Ukikaa ktk iki choo huna haja ya kujikamua ata kama nnya ikiwa ngumu mitambo inakukamua unastukia mzigo umeshashuka chini.
Baada ya apo unasafishwa unapigwa msasa na kukaushwa maji. Amna tabu ya kuanza kushika maji au kujishika.
Mambo yote yakiisha...
Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu
"Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe"
NOTE:
Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
The High Commission of India, Dar es Salaam invites sealed quotations for work of renovation of the public toilet in the India House Dar es Salaam.
The tender Document shall be available for collection by applicants from 28.08.2023 to 11.09.2023 upto 1500hrs from
High Commission of India...
Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu.
Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet...
Habari zenu Jf.
Heri ya mwaka mpya 2022, natumaini wengi wenu ni wazima na wale wenye udhaifu wowote basi Mungu aliye juu sana awatie nguvu ,shauri ,ujasiri na uhodari katika kushinda udhaifu huo.
2022 one of my plan is to give more.........
Mwaka mpya umeanza kila mmoja yupo kwenye...
Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika.
Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
Madalali wengi na watu binafsi kwa Tanzania wanatumia neno Public toilet kwenye choo cha wageni katika (residential house) makazi binafsi.
hii imekaa sawa?
Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo:
1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam
1,500,000/= kwa mikoa mingine
Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.