Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA).
Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
wakuu sana.
hizi taarifa za treni zinazotumia njia ya TAZARA kuacha njia zimekuwa nyingi mno. nadhani kila mwezi kuna taarifa moja au mbili za treni kuacha njia ama upande wa Tanzania au ule wa Zambia.
taarifa za hivi punde zinasema kuna treni imeacha njia Mlimba.
juzijuzi tu hapa zilitoka...
Wakuu hivi tangia Mh Magufuli afondoke hivi kuna shirika limekua la ovyo kuzidi hili TAZARA.
Just imagine tupo stesheni toka saa 9 mchana lakin tren kuondoka saa 5 usiku.
Mama Samia pamulike kwa jicho la tatu Sana hapa. Wafanyabiashara tunaotegemea huu usafiri unatutesa sana.
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.
Kilomita zaidi ya 1800...
Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji.
Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.