Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.
Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
Habari ya wakati huu wakuu?
Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hii tabia ya watu kupenda kumiliki vitu vingi visivyotumika. Nitavitaja kimoja kimoja lakini sioni mantiki ya wao kufanya hivyo kwa sababu wakati mwingine huishia kutengeneza uchafu.
1. Mabegi/mafurushi makubwa kwenye safari...
Tupo mwanzo wa wiki na mwezi nao ndio unayoyoma.. kwa wenye mishahara mwisho wa mwezi vibunda vimekaribia Mwaisa, unyama mwingi, hapa kazi tu, tuendelee kuupiga mwingi In every day, enjoy to the Maximum. Fight to complete 💪🏿 what you plan to do, as early as possible.
Niseme mawili matatu.. Kuna...
Habari wana JF, kwenye hii dunia hakuna mtu alie kamilika nna maana kila mtu ana tabia au vijitabia ambavyo watu wengine hawavipendi au vinakufanya mtu kufanya ufanya mambo isivyo.
Hivyo Pia JPM pamoja na mazuri yake yote yanayomfanya aonekana ni Rais bora mpaka alikuwa na tabia mbili kubwa...
Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu.
👇
Habar Wana Jf.
Dada zangu wanaume hatupendi mtufanye kama mama zetu, hatupendi kuongozwa/ kusimamiwa, haya ndio makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya katika ndoa zao.
Mwanamke ukiwa na Tabia ya kutaka kumkontroo mume wako basi ujue unakaribisha sinto fahamu katika ndoa yako,labda niwasaidie...
Habari ndugu zangu....
Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga.
Maisha yangu ni ya kawaida, nafanya kazi kwa masaa I mean naweza ingia kazini saa 10 Alfajiri mpaka saa 5 asubuhi nipo nyumbani. Suala la...
Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda.
Kama kuna Watanzania wanamfanyia dhihaka hii bila sababu yoyote, yani anapita tu mtaani unamdhihaki...
Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki
1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe...
Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
1. Kutembea na toothpick baada ya kutoka kula na kuchokoa meno hadharani.
2. Kuruka foleni (jumping queue)
3. Kuficha nyaraka ili uonekane mjuaji
Uzi tayari
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao.
Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana
Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui umuhimu wa simu, demu ukimuomba namba hakatai ila sasa ujue utapiga sana simu hutapokelewa.
Mbinu...
Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:-
1. Wavivu
2. Wezi na sio waaminifu
3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi.
Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu...
Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Hawa wazungu Sasa wamekosa hoja, kwamba tuache kufanya maendeleo kisa kwao Kuna joto. Mbona...
Habari zenu wana JamiiForums
Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks
Unakuta msichana/mwanamke...
Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa...
Kama uwezo wako unafikiri kidogo, ata katika kutatua changamoto zako zinazokuzunguka utazitatua kidogo; na hatimaye utakuwa masikini.
Kama wewe ni muajiriwa, na umerizika kuwa na chanzo kimoja cha mapato; yaani mshahara, mfano wa laki 5; na unautumia mshahara huo wote na kuishia kwenye matumizi...
Tafadhali haimaanishi kudharau,au kashfa yoyote kwa Mama yetu mpendwa,kwanza yeye ana ngozi ngumu,Embu pitia comments za anaowaongoza na anachowapigania wanavyofikiri,ufurahie siku yako..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.