https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi.
Lakini ningependa kusema ya kuwa tukio hilo lisifanye kupoteza imani kwa vyombo vyetu vya Ulinzi hususan jeshi la...
Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam
https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU
ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji.
Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa...
Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli.
Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
act wazalendo
ccm
chadema
haki ya kuandamana
haki ya kukusanyika
hayati magufuli
john mnyika
kuelekea 2025
rais samia
siasa tanzania
sugu
tundu lissu
uhuru wa maoni
viongozi chadema wakamatwa
viongozi chadema wapigwa
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA.
Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga...
bavicha wakamatwa
chadema mbeya
john mnyika
kukamatwa
kukamatwa na polisi
kwanza
maandamano siku ya vijana
polisi
siku ya vijana duniani
sugu
tundu lissu
viongozi chadema wakamatwa
Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa...
Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa.
Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali.
Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu.
Jipende jilinde
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini.
Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.
Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo.
Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank...
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.
Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti
Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.