Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana.
Kuhusu...
Utangulizi.
Uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika nyanja ya elimu nchini Tanzania. Kuna changamoto kadhaa zinazoathiri uwajibikaji na utawala bora katika mfumo wa elimu. Hata hivyo, kuna pia hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kuleta mabadiliko chanya. Katika andiko hili...
UTANGULIZI
Dunia ya sasa na inakoelekea kuna kukua na kuenea kwa sayansi na teknolojia kwakuwa ina umuhimu sana katika kuleta mafanikio na maendeleo, mambo mengi yanatatuliwa kupitia teknolojia, mambo mengi yanaanzishwa kupitia teknolojia hivyo inanafasi nyingi sana. Lakini wanawake waliopo...
Baada ya kumaliza stashahada ya sheria mwaka 2020 wakati nasubiri matokeo kutoka ili niweze kuendelea na elimu ya juu zaidi, nilikuwa na miezi kadhaa ya kusubiri kuanza kujisajili na shahada na sikutaka kukaa nyumbani bila kujishughulisha. Niliwasiliana na rafiki yangu mmoja ili anipe nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.