sports headquarters

  1. GENTAMYCINE

    Ya Muhimu ayasemayo sasa hivi Kocha Mwinyi Zahera kipindi cha Sports Headquarters EFM

    1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania. 2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo. 3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio. 4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana. 5. Bernard Morrison si Mchezaji wa kuanza, kwani hakabi halafu anacheza kwa vipindi. 6. Simba SC...
  2. mpasta

    Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
Back
Top Bottom