spacex

  1. BARD AI

    Rocket ya 'Starship' kutoka SpaceX yalipuka kabla ya kufika Obiti

    Starship ndiyo Roketi yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa na imeundwa kutuma wanaanga kwenye Mwezi, Mihiri au kwingineko. Chombo cha anga za juu cha chuma cha pua kilichoundwa na chombo cha anga kilichokaa juu ya roketi inayoitwa Super Heavy booster - kilipaa kwenye eneo la uzinduzi katika...
  2. BARD AI

    SpaceX yasitisha urushaji wa Satellite ya Taifa-1 inayomilikiwa na Kenya

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Utafiti wa Masuala ya Anga ya SpaceX, uamuzi wa kusitisha urushaji wa Chombo hicho kilichopewa jina la Taifa-1 kwaajili ya Uchunguzi wa Dunia, umesababishwa na Hali Mbaya ya Hewa. SpaceX ililazimika kusimamisha Roketi ya Falcon 9 sekunde ya 29 tu kabla ya...
  3. Analogia Malenga

    Matajiri waenda anga za mbali na SpaceX kwa nauli ya Tsh. bilioni 127 kila mmoja

    SpaceX imeandaa safari za matajiri watatu wakiwa na wataalamu wao wa anga kwenda anga za mbali ambapo watatumia wiki moja wakitalii sehemu hiyo ya nje ya dunia. Matajiri watatu, mmoja mmarekani, mkanada na muisrael wamelipa Dola milioni 55 sawa na Tsh. Bilioni 127 kila mmoja kwa ajili ya nauli...
  4. M

    Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

    Mzuka wanajamvi! Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani. Elon...
  5. Sam Gidori

    Bilionea wa Japan anatafuta watu 8 kwenda naye mwezini

    Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi. Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
Back
Top Bottom