soviet union

  1. mchawi wa kusini

    Kitu kilichoipelekea Soviet union hadi ilivyoanguka

    Habari Ya muda huu JF Unajua nini kiliiepelekea soviet Union kuanguaka fuatana na mimi. SOVIET UNION ILIVYOANGUKA- UADUI NA MAREKANI: Wengi mmesoma au mnakumbuka miaka ile ya vita baridi kati ya USA(Marekani) na Soviet Union(Urusi) na kuletea hali ya kuwa na wasiwasi pengine vita ya 3 ya dunia...
  2. J

    Tundu Lissu: Msimamo wangu kuhusu vita vya Ukraine unafanana na msimamo wa Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Soviet Union na Czechoslovakia 1968

    Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi. Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo. Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
  3. EINSTEIN112

    Mikhail Gorbachev: Kiongozi wa Soviet aliyesaidia kumaliza Vita baridi

    Mikhail Gorbachev alikuwa mmoja wa watu mashuhuri katika siasa karne ya 20. Aliongoza kuvunjwa kwa Muungano wa Sovieti ambao ulikuwepo kwa karibu miaka 70 na ulikuwa umetawala sehemu kubwa za Asia na Ulaya Mashariki. Hata hivyo, alipoanzisha mpango wake wa mageuzi mwaka 1985, nia yake pekee...
Back
Top Bottom