songea mjini

  1. The Watchman

    Pre GE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo. Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
  2. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuanza Ujenzi wa Songea ByPass, Kuondoa Msongamano wa Maloli Songea Mjini

    SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa kujenga barabara ya mchepuo (Songea Bypass) yenye urefu wa kilometa 16...
  3. VINICIOUS JR

    Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

    Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie. Asanteni
  4. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Ziara ya Ndumbaro jimboni yaacha alama kwa wananchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amehitimisha ziara ya Kiserikali katika kata 21 za Manispaa hiyo ambapo amezungumza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa kata hizo. Miongoni mwa kero zilizowasilishwa na wananchi hao katika...
Back
Top Bottom