Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi.
Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na...
Habari zenu wakuu.
Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.
Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na...
Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu.
Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake
Nimeshatengeneza excel file yenye collum
Jina|Phone number|SMS
Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
Huduma ya Ujumbe Mfupi (SMS) ni sehemu ya huduma ya mawasiliano ya maandishi ya simu, ikitumia itifaki sanifu za mawasiliano zinazoruhusu kubadilishana ujumbe mfupi wa maandishi kati ya laini au vifaa vya simu za rununu.
Matumizi ya SMS kama matumizi ya data ulimwenguni ni kubwa sana, na...
NANI JEMBE;
Nyumbani kwa mlevi, kwa nje kuna kisima kirefu
Siku moja Mume alirudi usiku amelewa top, Mambo yakawa hivi:
MME: Fungua mlango
MKE: Leo sifungui Nimechoshwa na ulevi wako
MME: Kama haufungui najitupia kwenye kisima bora nife
MKE: Kufa hauna faida yoyote kwangu
MME: akachukua jiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.