smart tv

  1. mfianchi

    Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa TZ

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani, kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  2. mfianchi

    Mtandao gani naweza kutumia kwenye Smart Tv hapa Tanzania

    Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio wilayani. Kwa jiji la Dar Es Salaam najua Zuku ndio wana unafuu kiasi bahati mbaya wilayani hatuna...
  3. dyuteromaikota

    Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

    Msaada watabe wa hizi mambo. Nimekutana na hii kitu online, Je kitanisaidia? Nimesita kidogo kutokana na bei yake nahisi kama ipo chini kidogo, Msaada please.
  4. KAGAMEE

    Wapi hapa Mwanza naweza kupata smart TV nzuri?

    Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
  5. Miss Zomboko

    TV4Sale Jipatie smart TV inch 55 used in excellent condition

    Habari Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Brand zilizopo ni Hisence na Boss Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss) Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho) TV zilikuwa zinatumika Kibiashara kwenye Kukodisha Ukumbini kwa ajili ya Sherehe. Zinauzwa hazina tatizo lolote...
  6. Loraa sum's

    TV4Sale Used Smart TV inch 43 na Dish la Azam

    used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3 Kampuni: homebase Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside Bei: 650,000 Contact: 0712518770.
  7. S

    Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

    Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect. Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu...
  8. beth

    Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

    Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani. Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na...
Back
Top Bottom