Wakuu Salam.
Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu.
Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na vijana wa familia yake.
Alipendelea utawala wa kiimla, na Kujiona Serengeti ni yeye na yeye...
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.
Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija wa tanapa ambaye analindwa sana na mamlaka siku akifa watu watafurahi sana maana rasilimali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.