saut songea

  1. cold water

    Naomba kufahamu machache kuhusu Chuo cha SAUT Songea mkoa wa Ruvuma

    Kwa mliosoma chuo hiki cha SAUT kama "St Augustive" naomba kujua yafuatayo: Je, Kimesajiliwa? Je, Kinatoa course ya accountancy degree? Nahitaji kuanza masomo ya account "degree". Nisije nikapoteza pesa na muda hapo maana vyuo vya mkoa wa Ruvuma sijawahi kuvielewa kabisa.
Back
Top Bottom