santuri

  1. Gily Gru

    INAUZWA Nauza Player ina tumia santuri zote aina tatu

    Nauza player ya santuri bei laki moja tasilimu Ina bluetooth Ina play 45, 33 na 78 Portable and easy to carry
  2. Gily Gru

    Natafuta Santuri (CD kubwa za zamani aina ya Gramophone)

    Habari Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. . Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM...
Back
Top Bottom