russia

  1. green rajab

    Iran imeagiza mzigo wa kutosha pamoja na specialist toka China na Russia

    🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa hizo wawepo kwa ajili kuinstall zana hizo. Update: Reports that Iran has requested an emergency...
  2. S

    Bila Iran na Russia kufanya maamuzi magumu, Marekani na Israeli wataendelea kuwanyanyasa sana

    Ukweli ni kwamba. hakuna watu waoga kuingia vitani kama wamerakani hasa wakigundua una sila za hatari yaani zile zinazoitwa silaha za maangamizi. Hivyo, ili Iran ilinde heshima yake na ili Israeli ikome kutegemea ubabe wa Marekani, ni shariti ifanye maamuzi magumu sana ya kutumia silaha kali...
  3. green rajab

    Russia Army yapeleka ndege yenye zana Tehran

    Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi.. A military transport aircraft operated by Russia's 'Gelix' airline, known for transporting weapons and military equipment...
  4. green rajab

    Russia ndio wanaichagulia Marekani Rais akiwa tofauti wanamng'oa

    Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na kuhesabia kura sasa Russia wana mrudisha Donald Tramp baada ya Biden kuleta ujuaji..
  5. I

    Utegemezi wa Russia kwa sarafu ya Yuan kuokoa uchumi wake waanza kutokomea

    Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni. Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa kifedha wa kimataifa unaotawala dola maarufu kama (SWIFT) lakini nchi hiyo imeweza kustahimili...
  6. Sir John Roberts

    Nchi 32 za Ulaya, Marekani na Canada (NATO), Australia, Japan na Korea wanapambana na Urusi

    Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1. Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO. Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono...
  7. green rajab

    Russia imezifumania HIMARS na kuziwahi kabla hazijashambulia Crimea

    Russia imezikaanga HIMARS za Marekani zilikua zikijiandaa kufanya shambuliwa Crimea ....🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨UKRAINIAN AIR DEFENCE IN TROUBLE - STAROKONSTANTINOVKA AIRPORT UNDER ATTACK ... Russian troops hit HIMARS rocket launchers, ready to fire on Crimea. Ministry of Defense: Russian armed forces...
  8. green rajab

    Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

    BREAKING NEWS Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia. NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting...
  9. green rajab

    Russia amekichafua huko Kiev vilio na mayowe kila kona

    Russia kawagonga wanamgambo wa Ukraine na vitu vizito sasa hivi wanalia na kusaga meno. List of impacts as the 4th group of Kalibrs approach their targets: Explosions in Kryvyi Rih Explosions in Kyiv Explosions in the suburbs of Kyiv More explosions in Kyiv -> Kinzhal hits A very powerful...
  10. X

    Russia-Ukraine War: Makombora ya Russia yapiga hospitali ya watoto wanaougua kansa Ukraine

    Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa. Waliolengwa ni magaidi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye hospitali hiyo. Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu. Before After
  11. chiembe

    Global Powers zimekwisha baada ya vita baridi ? Usijidanganye, MK ya Jackob Zuma kwa udhamini wa Russia kidogo iiondoa ANC,

    Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO.. Rais wa sasa wa South Africa ni pro western. Dola milioni kadhaa wanayumbisha nchi, Non Allignment is the way to go. Rutto pro western, Raila Pro...
  12. green rajab

    Russia imelipua train ikiwa na zana kivita za NATO

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine ⚡️🇷🇺Russian forces destroy a Ukrainian train full of equipment by Iskander OTRK in Zaporozhye region. According to Russian...
  13. I

    Kwa mara nyingine tena mfumo wa anga wa Russia aina ya S-500 unashindwa kuzuia makombora ya ATACMS za kimarekani.

    Mvutano kati ya Urusi na Marekani umeongezeka kwa hatari kufuatia shambulio baya la kombora huko Sevastopol, Crimea, ambalo maafisa wa Urusi wanadai lilitekelezwa kwa silaha zilizotolewa na Marekani. Shambulizi hilo lililotokea Juni 23, lilisababisha vifo vya watu wanne, wakiwemo watoto wawili...
  14. George Betram

    Nini maana ya Banana Republic? Je, Urusi ni Banana Republic?

    Leo nimekutana na mchango wa mwanachama wa Jamii Forums (Imeloa) akisema kuwa Russia ni Banana Republic, hili jina limenishtua kiasi, of course sielewi maana halisi ya Banana Republic. Ila kwakuwa Jamii Forums kuna manguli wa GEOPOLITICS, ninaamini leo nitatolewa ujinga kidogo. Wakongwe, nini...
  15. Nsanzagee

    Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

    Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran...
  16. K

    Air Traffic Boost: New transport agreement enhances flight connections between Russia and Tanzania

    On Wednesday, the Russian Ministry of Transport press reported that an air transport agreement had been signed with Tanzania. Russian Deputy Minister of Transport Vladimir Poteshkin and Tanzanian Ambassador to Russia Fredrick Ibrahim Kibuta concluded the arrangement in a show of strong...
  17. green rajab

    Biden aipiga marufuku Ant Virus ya Kaspersky ya Russia kwa Ujasusi

    Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧 --- 🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE Biden admin will announce plans to...
  18. Pearce

    Urusi ni taifa lililolipia gharama kubwa kwenye Vita ya Pili ya Dunia 1939-1945

    TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali...
  19. green rajab

    Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

    Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi Russia promised Western and Ukrainian military pilots a million dollars for the ``kidnapped'' fighter F-16 IF THEY DEFECT TO HER SIDE WITH THE...
  20. green rajab

    Nyambizi ya Kinyuklia ya Russia yashtukiwa pwani ya Uingereza

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 Saa chache zilipita Ndege ya kusaka Nyambizi ya Uingereza (RAF Poseidon P8 anti-submarine) imeigundua Nyambizi ya Ki nyuklia ya Russia ikiwa katika pwani yake na kuzua hofu na kuitisha kikao Cha dharura. Ikumbukwe Nyambizi zingine za Urusi zipo Cuba 60 km toka Pwani...
Back
Top Bottom