rukwa

  1. figganigga

    Rukwa: TAKUKURU wamekalia kimya rushwa ya Josephat Sinkamba Kandege (CCM), mwaka wa pili sasa

    MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018 7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
  2. Suley2019

    Rukwa: Mwanamke apigwa mawe hadi kufa kwa tuhuma za ushirikina

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawasaka watu wasiojulikana kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga mawe, mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Birika (40), mkazi wa Kijiji cha Myunga, Kata ya Mkali, wilayani Kalambo. Imeelezwa kuwa watu hao wamemfanyia kitendo hicho kwa kumtuhumu kujihusisha na...
  3. beth

    Tabibu akamatwa kwa kumuomba mgonjwa rushwa na kufanya upasuaji asio na ujuzi nao

    Katika hali ya kushangaza Tabibu Msaidizi Eliud Humbo anashikiliwa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) baada ya kufanya upasuaji asio na ujuzi nao Humbo ambaye andaiwa kumfanyia Upasuaji wa ngili mgonjwa mmoja ambaye alipewa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa Mkuu wa Mamlaka...
  4. beth

    Vijana wa JKT wadaiwa kuua

    Baadhi ya Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Milundikwa Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa wanadaiwa kuvamia Kijiji cha Kipande na kutembeza kipigo kikali kwa Wananchi hadi mmoja wao Sabato Mbalamwezi kupoteza maisha. Inaelezwa kuwa Sabato Mbalamwezi na mwenzie Renatus Wankamba...
Back
Top Bottom