richmond

  1. BAK

    Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond

    Date::8/30/2008 Kikwete umeshindwa EPA, tunakusubiri Richmond Na Joyce Mmasi Mwananchi HATIMAYE ile taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu zabuni ya umeme wa dharura iliyotolewa kwa kampuni tata ya Richmond Development Limited imetolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Kila mtu...
  2. BAK

    CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi

    Date::8/28/2008 CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi ..... Kizitto Noya na Saa Mohamed Mwananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekosa maadili ya uongozi kutokana na kutowachukulia hatua za...
  3. Mpaka Kieleweke

    Mizengo Pinda: Serikali ilivyotekeleza Maazimio ya Bunge Richmond

    Kwa mujibu wa tangazo la spika wa Bunge alilolitoa muda mchache uliopita ni kuwa Waziri mkuu atawasilisha taarifa yake siku ya alhamisi kuhusiana na utekelezaji wa maazimio 21 ya Bunge kuhusiana na Richmond. Hivyo basi siku hiyo itakuwa ni siku ya kusikia hatua gani zimechukuliwa na nini...
  4. Mzee Mwanakijiji

    Rostam, Msabaha, Kikwete and Richmond - Yes I said it again!

    Hicho ndicho nilichosema nimenotice katika maelezo ya Rostam. Siyo kwamba hakuhusika, na hajawahi kukanusha hicho. Yeye anasema walichunguza na hawakuona jina lake. Vitu hivi ni viwili tofauti. Rostam hajawahi kukana kuhusika na Richmond na Dowans. Sikiliza tena majibu yake alipoulizwa hata...
  5. M

    Mama Mongela: Mitambo ya Richmond/Dowans itaifishwe

    mama mongela anaongea sasa bungeni, na amependekeza ile mitambo ya richmond/dowans itaifishwe ili itusaidie wakati wa dharura. mimi namuunga mkono, kuwa wasiruhusiwe kuichuka hiyo mitambo, ikae hapo kama guarantee wakati tunawadai mapesa waliotuchukulia kwa mkataba feki Soma Uzi maalum wenye...
  6. BAK

    Ex-Richmond power deal may be extended to 2012

    Ex-Richmond power deal may be extended to 2012 By Tom Mosoba THE CITIZEN The Dowans emergency power supply contract could be extended for another three years despite stiff opposition to the project, The Citizen can report. While the Government is under pressure from MPs and the general...
  7. K

    Tunajadili Bajeti,Tunaizika EPA,Richmond: Lakini Je,Tunayajua haya?

    Tunajadili Bajeti: Lakini wanasiasa wanayajua haya? Na Charles Kayoka Mwananchi WAKATI huu tunapoijadili bajeti sijui kama wanasiasa na watunga sera wetu wanalijua hili ninaloandika hii leo. Nilikuwa ziarani mkoani Rukwa hivi karibuni kwa ajili ya kujadiliana na waaandishi wa habari wenzangu...
  8. BAK

    Bunge uchwara lataka EPA na Richmond ziwekwe kando

    Posted Date::6/16/2008 NEC yazika mzimu wa Richmond *Baadhi ya wabunge watetea watuhumiwa rasmi *Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando * Wengine wataka wachukuliwe hatuza zaidi *Kikwete awaruhusu kuikosoa serikali kwa hoja Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mwananchi KUNDI la wabunge na...
  9. Selous

    NEC yazika mzimu wa Richmond

    NEC yazika mzimu wa Richmond *Baadhi ya wabunge watetea watuhumiwa rasmi *Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando * Wengine wataka wachukuliwe hatuza zaidi *Kikwete awaruhusu kuikosoa serikali kwa hoja Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mwananchgi KUNDI la wabunge na wajumbe wa Halmashauri...
  10. BAK

    Sakata za Richmond, EPA sasa kuhamia katika vikao vya CCM

    Suala la kashfa ya Richmond na mabilioni yaliyochotwa katika Akaunti Maalum ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), linatarajiwa kutawala mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM) na waliotuhumiwa kwa kashfa hizo kujieleza mbele ya wajumbe wenzao na wabunge...
  11. The Khoisan

    Kumekucha: Parliament to discuss EPA, Richmond -Speaker

    Parliament to discuss EPA, Richmond -Speaker 2008-06-01 10:45:11 By Staff Reporter The Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, said yesterday the coming budget session of the Union Parliament will discuss the External Arrears Payment Account and the Richmond power contract scandals...
  12. M

    Mwenyekiti Kamati ya Richmond akatiwa maji

    - Mwenyekiti Kamati ya Richmond akatiwa maji (Gazeti la Majira) Na Rehema Mwakasese Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Ufisadi wa EPA, Richmond wadhalilisha Watanzania Marekani
  13. Nikifufukammekwisha

    Ufisadi wa EPA, Richmond wadhalilisha Watanzania Marekani

    Who is this guy? Why did he do this & under what capacity? Is he the "de-facto spokesperson" for Tanzanians living in the US? Aliwakusanya akina nani na kukusanya maoni yao halafu baadaye kuyapeleka uko Mwananchi? Anafanya kazi ubalozini? Mimi naichukulia hii kitu kama ni "kujikweza kusiko na...
  14. M

    Richmond nyingine yaibuka Mwanza

    Richmond kubwa zaidi yaibukia Mwanza *Ni mkataba wa umeme wa Sh155 bilioni *Ulisainiwa na serikali Oktoba 2006 *Mitambo haijawahi zalisha umeme *Mwekezaji analipwa Sh9bn kila mwezi Na Waandishi Wetu MKATABA wa Sh155.2 bilioni wa Kampuni ya Marekani kwa ajili ya kuzalisha umeme wa dharura...
  15. BAK

    Richmond, EPA kuibukia Butiama

    Richmond, EPA kuibukia Butiama Mwandishi Wetu Machi 12, 2008 Raia Mwema Azimio la Butiama kuitikisa CCM Wahusika wadaiwa kuanza kutoa rushwa UAMUZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupeleka vikao vyake vya juu vya Kamati Kuu yake (CCM) na kile cha Halmashauri Kuu (NEC) kijijini Butiama, una...
  16. K

    Richmond yaibukia Uganda

    Richmond yaibukia Uganda Waandishi Wetu Machi 5, 2008 Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Vyuo vikuu watoa tamko juu ya EPA, Richmond SAKATA ya kampuni hewa ya kufua umeme wa dharura, Richmond Development LLC, ya Marekani, limevuka mipaka na kujadiliwa...
  17. BAK

    Vyuo vikuu watoa tamko juu ya EPA, Richmond

    Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini Iringa vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini, wamefanya maandamano mjini hapa na kutaka bei ya umeme ishuke mara moja. Aidha wanafunzi hao pia wametaka waliochangia kupanda kwa huduma hiyo ya kijamii wafikishwe mahakamani haraka, wafungwe maisha au kunyongwa...
  18. Shukurani

    Mwanyika: Sihusiki na kashfa ya Richmond

    na Mwandishi Wetu | Tanzania daima MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, amesema hana tatizo licha ya kutakiwa kujiuzulu na Kamati Teule ya Bunge, iliyopewa kazi ya kuchunguza mchakato wa zabuni ya Kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond. Aidha, Mwanyika alishindwa kuweka...
  19. Mpaka Kieleweke

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Ni kuwa mjadala wa Richmond ndio unaanza japo mbunge wa Kigoma Mjini ndugu Peter Serukamba alimtaka spika kumpa ufafanuzi kwanza kuwa ni kwanini Waziri mkuu hakupewa nafasi ya kujitetea kwenye kamati husika. Waziri mkuu kaamua kujitoa kwenye meza na amekuwa mchangiaji wa kwanza kuchangia...
  20. Informer

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Mara baada ya kuahirishwa kikao cha Bunge jana jioni, Waziri Mkuu aliitisha kikao cha Mawaziri na Manaibu wao akidai ni kikao cha KIKAZI. Katika kikao hicho aliwaambia kwamba serikali ilikua na nia njema katika suala zima la Richmond na kwamba mawaziri wanaothubutu kushabikia ripoti ya Richmond...
Back
Top Bottom