Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini?
Soma
Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond
Kama kweli Waziri Bashe katoa kibali cha...
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.
Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua.
Na mhe. Rafael...
Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile Mwakyembe na kusema kuwa kama watu hawaridhiki waombe kanuni zitenguliwe ili aweze kuwasilisha upya...
Edward Lowassa kiongozi aliyekuwa katikati ya kisa cha Richmond, kampuni tata ya kufua umeme iliyosemekana kuwa feki na ya kwenye briefcase tu na iliyohusishwa na ufisadi mkubwa amehitimisha safari yake ya dunia bila kufumbua fumbo hilo mbele ya umma.
Kwa nini Lowassa hakuwahi kufikishwa...
Naamini mzee wetu Lowasa hatokaa asahau mzimu wa Richmond.
Kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa waziri mkuu mstaafu.
Alikutana na bunge lenye meno chini ya wabunge wa upinzani ambao bado walikuwa hawajabinafsishwa na ccm.
Mzee wetu aliongea sana hadi akafikia kutoa machozi kwa uchungu wa...
Watoto wadogo wa shule za msingi Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya kata ya Msongola wilaya ya Ilala waishio Chakenge Richmond, na Yangeyange wamekuwa wakipata adha kubwa ya kutafuta elimu kwa kutembea kwa zaidi ya Km 15 kwenda katika shule za Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya ambapo...
Wakuu,
Kwenye hizo kashfa za epa, escrow, richmond, kagoda, meremeta, na kashfa kibao nazo zilipata waliozitetea kwa nguvu kubwa sana.
Na baadhi ya vyombo vya habari vilijitoa kutetea na baadhi ya waandishi waliandika kutetea sana hizo kashfa lakini mwisho waliishia kuaibika tu.
Hivo...
Wadau naamini Bado mnakumbuka SAKATA la RICHMOND lilivyomwondoa MADARAKANI aliyekuwa WAZIRI MKUU Mh.EDWARD LOWASSA kutokana na Tuhuma za Ufisadi wa Kampuni ya RICHMOND.
Juzi CAG Wakati anakabidhi Report yake kwa Mh.RAIS ametaja Madudu mengi yakionyesha UPOTEVU wa MABILIONI ya FEDHA za UMMA...
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.
Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!
Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge?
Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini?
Tuliambiwa Tatizo ni service ya...
Nazir Karamagi na Yogesh Manek watafanikiwa kuendelea kuinyonya Tanzania kupitia bandari ya DSM?
Na Juma Kambi, Kuli Bandarini DSM
Wawili hawa ni wamiliki wa kampuni ya kusimamia makontena katika bandari ya Dar (TICTS).Kwa miaka mingi wamekuwa wakipokea mabilioni ya fedha huku utendaji wa...
NIWAKUMBUSHE KUFUFUKA KWA CHADEMA MWAKA 2008.
Leo 11:02am 19/03/2022
Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha "Operation Sangara" nchi nzima, mikutano yao ilivutia watu wengi kwa hoja zao motomoto za kashfa ya...
KAMA JPM ALIKULA MKOPO NA KUWAFUMBUA MACHO WATANZANIA,BASI TUWAACHE WATANZANIA WAAMUE.
Fuatana nami👇👇👇
Rais John Pombe Magufuli alitutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa kubwa la Umeme la Rufiji...
Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba.
Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi wengi waliokuwa wanaliibia taifa letu walikuwa ni viongozi wa Ccm.
Mmoja wa watu waliosadikiwa kuwa...
Balozi wa USA Mark Green kipindi cha Richmond aimbia dunia kuwa kilichomponza Lowassa ni kuonekana ni tishio kwa wanaotazamiwa kumrithi Kikwete (alipaniwa).
Hapa kuna mtu anayeonekana kuwa frontline kumrithi Magufuli kwa uwezo, utendaji, dini, ukanda na umri, Kassim Majaliwa anazunguka zongo...
Wasalam, nakumbuka miaka ile 2005 iliibuka kambuni ya kufua umeme ya Richmond. Kambuni hii baadae ilikujagundulika kuwa ni kampuni hewa kitu kilichopelekea aliekua waziri mkuu wakati ule ndugu lowassa kujiuzuru uwaziri mkuu.
Baadae serikali hii ya ccm ilibadili jina la Richmond kuwa symbion...
YUKO WAPI MWAKYEMBE YULE WA RICHMOND?
Madaraka yana tabia moja mbaya sana hususani kwa Waafrika. Tabia hii mbaya ya madaraka ni kulevya. Madaraka ni kama Pombe tu, wengi wanashindwa kuyanywa kwa ustaarabu, wanajikuta wanakuwa ni walevi wa kupindukia wa madaraka. Viongozi wengi wanasumbuliwa na...
Hapa nazikumbuka bil 967 zilizohamia vote 20 isiyo hojiwa
Soma
Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond
Miaka 10 ya Kashfa ya Richmond bila ya Lowassa kufikishwa mahakamani!
Siku tano zilizopita yaani tarehe 7/2/2018 ilitimia miaka kumi kamili tangu Edward Lowassa ajiuzulu uwaziri Mkuu tarehe 7/2/2008 kutokana na kuhusishwa na Kashfa ya utoaji Tenda kwa kampuni ya kufua umeme ya richmond.
Lakini mpaka leo mbali ya kutuhumiwa tu na mahasimu wake wa kisiasa Lowassa...
Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa.
Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa...
Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.
Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.