Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL POP pia RNB ambayo ndiyo hupendwa na watu wengi duniani kwa kuwa ina vibe na kutoa passion kwa...
Yaani nyimbo inaitwa back to my roots
Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni
Yaani zile ngoma na gitaa balaa,
Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa gitaa linajibu ndi ndi ndiiiiii ...... tarumbeta mbeeee mbeeeeee mbeee .. ngoma twatwatwa twaaaaa...
Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla.
Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali;
1. BOB MARLEY
No woman no cry
Buffalo...
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel.
Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
Lucky Philip Dube maarufu kama “Lucky Dube” mzaliwa wa Mpulanga Afrika kusini.
Huyu ni miongoni mwa wanamuziki ninao wahusudu na kuwapa heshima kubwa hapa barani Afrika na duniani kwa ujumla.
Hakika huyu mwamba ali utendea kazi iliyo bora muziki hasa katika muziki wa reggae alio onesha ustadi...
Kuhusu mwimbo huu kiufupi. Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale walikuwa Waafrika weusi kule Mashariki ya kati baada ya utumwa Misri. Kwa hiyo Waafrika na watu weusi...
Pigo lingine laufika muziki wa Reggae. Mwimbaji na mtayarishaji nguli wa muziki wa Reggae, Lee "Scratch" Perry, ameondoka akiwa na miaka 85.
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamaica Andrew Holness, Lee, ambaye jina lake halisi ni Rainford Hugh Perry, aliaga dunia tarehe 29 Agosti...
Lejendari wa muziki wa Reggae Bunny Wailer, ambaye ni miongoni mwa waasisi wa kikundi maarufu cha Reggae kiitwacho Wailers, ambacho kilimuinua Bob Marley kwenye hadhi mziki wa ulimwengu, amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ni wimbo gani wa mtindo fulani (Country/R&B) ambao umeimbwa tena kama "Reggae Version" unaupenda sana?
Mimi ninaupenda sana nyimbo za "The Gambler" pamoja na "One More Night" ulioimbwa na msanii BUSY SIGNAL kama reggae...
Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti.
CCM hupendelea kwaya na Singeli
Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya
ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani
NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk
Kinachotofautisha aina za burudani...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
care
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Kuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa Reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kuleta watu pamoja.
Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo.
Maudhui ya sengeli ni matusi...
Lucky Philip Dube (tamka doo-bei) [1] (3 Agosti 1964 - 18 Oktoba 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha miaka 25-na alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutoka Afrika Kusini ambaye aliuza albamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.