receptionist

  1. kanyagio

    Kazi: Mapokezi na Mhudumu katika Lodge

    Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao: 1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer...
Back
Top Bottom