raheem sterling

  1. JanguKamaJangu

    Takwimu za Ulaya wiki hii, Bruno Fernandes, Raheem Sterling, Mohamed Salah

    Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa League tangu Zlatan alivyofunga vs. St-Etienne (2016) Raheem Sterling ni Mchezaji wa Kwanza wa...
  2. JanguKamaJangu

    Dirisha la Usajili limefungwa, Sancho atua Chelsea, Arsenal yambeba Sterling

    Winga wa Manchester United amekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mmoja kwenda Chelsea, mkataba ukiwa na sharti la kuwa wanaweza kumsajili kwa Pauni Milioni 23 ikiwa ni miaka mitatu tangu United ilipomnunua kwa pauni Milioni 73 kutoka Borrusia Dortmund. Upande mwingin, Raheem Sterling wa...
  3. JanguKamaJangu

    Erling Haaland amecheza dakika 1,745 katika EPL, amekutwa offside mara moja tu

    Inaweza kukushangaza kiasi lakini huo ndio uhalisia, licha ya kuongoza kwa kufunga magoli 17 katika Premier League 2023/24 hadi sasa, takwimu zinaonesha Mshambuliaji wa ManchesterCity, Erling Haaland ameotea mara moja tu katika dakika 1,745 alizocheza, anayeongoza kwa kuotea ni Darwin Nunez wa...
  4. JanguKamaJangu

    Raheem Sterling akataa ofa ya kwenda Saudi kulipwa mara tatu ya mshahara wake wa sasa

    Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem inadaiwa amekataa ofa ya kwenda kucheza Soka Nchini Saudi Arabia ambapo aliahidiwa kulipwa takribani mara tatu ya kiasi anacholipwa kwa sasa. Ikiwa angekubali ofa hiyo angeweza kuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi katika Ligi ya 'Saudi Pro...
  5. M

    Endapo Raheem Sterling angekuwa mzungu angetunukiwa Ballon d'Or

    Mzuka wanajamvi! Hii kasumba ya ubaguzi kwenye mpira inaonekana waziwazi. Hata George weah alivyopewa balloon d'or miaka ya nyuma kwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wazungu walilalamika ilikuwaje mmatumbi akapewa Tuzo hiyo kubwa kwenye mpira? FIFA ilimnyima waziwazi Samuel Etoo hii tuzo. Etoo...
  6. JanguKamaJangu

    Klabu ya Chelsea ipo tayari kumuuza Raheem Sterling

    Licha ya kuwa alijiunga na klabu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Manchester City kwa Paundi Milioni 50, Sterling (28) na kusaini mkataba wa miaka mitano, ameshindwa kuwa na uhakika katika kikosi cha kwanza. Amefunga magoli manne katika mechi 15, hali inayoonesha Chelsea inahitaji...
Back
Top Bottom