Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa
Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain...
Vs
Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
Wengi mnakumbuka hii amri ya Putin alipowaamrisha wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe, leo hii mzee wa watu hata kulala ni shida maana drones zinapaa juu ya kichwa chake kama mbu....
Serikali ya Urusi imetoa katazo la drones za aina yoyote angani mwake siku zikisalia chache kabla rais kuhutubia huku tishio la drones likitamalaki, ambazo zimeonyesha jeuri ya kupaa juu ya kichwa cha rais akiwa kwake chumbani. Wafuasi wa mtume Putin povu ruksa...supapawa anakutwa bedroom
Pia...
Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika.
Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi...
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka mikwara kama yote na kuahidi ushindi.
Lakini hali imekua ngumu, ameshindwa hata kuteka kamji ka hovyo tu...
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine
Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake
Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki
Nne; Pia hasara...
Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
Ameanza ile hulka yake ya kufuta kaze majenerali kila wakipokea kipigo...
Vladimir Putin has fired one of the top generals leading Russia's forces in Ukraine, after an attack on the eastern town of Vuhledar ended with dozens of tanks being destroyed.
General Rustam Muradov was sacked in the...
Rais Vladmir Putin amekiri kwamba vikwazo vya nchi za Magharibi vilivyolenga kuinyima njaa Kremlin ya fedha kwa ajili ya uvamizi wake Ukraine vinaweza kuleta pigo kwa uchumi wa Urusi.
"Vizuizi visivyo halali vilivyowekwa kwa uchumi wa Urusi vinaweza kuwa na athari mbaya katika muda wa kati,"...
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika.
Miaka au hivi karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi.
Hii inasababishwa na...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao
Katika mazungumzo yao ya Jumamosi, yaliyofanyika kwa njia ya simu, viongozi hao wamejadili pia juu ya yanayoendelea katika vita nchini Ukraine...
Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika wake, Belarusi, kwenye milango ya Umoja wa Ulaya, inayogawana mipaka na nchi mbili za Baltic...
Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi yake.
Mahakama ya ICC, ambayo Afrika Kusini imetia...
Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa
Russia's President Vladimir Putin will be attending the Brics Summit in August this year, on...
Mwanzo aliwatisha wale watakaoisaidia Ukraine kwenye vita kua watakiona cha mtema kuni na atawageuza kuni, ila mpaka leo yupo kimya na Ukraine inasaidiwa mpaka na majirani zake kama Poland, Lithuania, Germany and ect.
Juzi anasema ataipiga mahakama ya ICC pale the hague kwa hypersonic...
Hungary inasema haitamkamata rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo angeingia nchini humo, licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati ya kukamatwa kwake wiki iliyopita, ikimtuhumu kuwachukua kinyume cha sheria mamia ya watoto kutoka Ukraine.
Mkuu wa wafanyakazi wa Waziri Mkuu wa...
Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute
My Take
1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura...
Je, walimu wa serikali wanaumizwa na mpango wa mikataba na wakuu wao?
Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepata malalamiko kutoka kwa baadhi ya walimu wa Shule katika Mkoa wa Dar es Salaam na pia tumegundua kuwa walimu kadhaa wako katika msongo mkubwa sana wa mawazo kufuatia 'mikataba mipya' ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.