Hapa ni baadhi ya makinda wachache wakiwa Uwanja wa Ndege tayari kwenda kupata utulivu Egypt
Pongezi kwa tajiri namba moja Mo Dewji, na uongozi wote wa Simba SC
Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga.
Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi na mpaka sasa hatuoni kikwazo chochote kutoka kwao.
Tayari tumeshatoa taarifa kwa wachezaji wote...
Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
.
FT: SIMBA SC 6-0 AL AKHDOOD
⚽️ Phiri 🅰️ Chama
⚽️ Mkude 🅰️ Okrah
⚽️ Kagere 🅰️ Banda
⚽️⚽️ Sakho
⚽️ Nyoni
My Take
Sakho kuna maelekezo kapewa na Sadio Mane. Tusije kulaumiana
Watu wa Soka,
Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season).
Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused.
Timu itaweka...
1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka
2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana.
3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale Wanigeria pia.
My take:
Waseme tu pesa imekata.
kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo...
Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili.
Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu.
Hivi Sasa bado nadhani wapo madukani wanaendelea na sagulasagulaa ya wachezaji ligi ikianza lawama zinaanza.
Tufike mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.