pombe na ulevi

  1. ndege JOHN

    Nchi za wenzetu huko matumizi ya pombe ni ruksa maofisini?

    Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo ubongo ndipo mnaanza maongezi yaani kiroho safi kabisa. Hata police ukienda ku report tukio unafika...
  2. winnerian

    Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

    Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
  3. Poor Brain

    Unamheshimu mdada vizuri tu, kumbe analewa

    Sio kulewa tuu yaani anakwenda mpaka disco na anaweka status anavyo bambiwa. I don't know hawa watoto wana shida gani ni malezi au ndo kujiendekeza tu.
  4. B

    Furaha ya Kweli haiji kwa ku Boost na Pombe au ulevi. Furaha ya kweli haihitaji Gharama

    True happyness does not demand expensive stuff. Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki. Watu wafuatao hawana fursha hata kama wanajifaragua na makeke mengi. 1. Mtu anayehitaji kunywa pombe sana na vilevi vikali 2. Watu...
Back
Top Bottom