Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....
POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank.
Vladimir...
Habari zenu wakuu !
Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha )
Asanteni wakuu!
Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa.
Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland...
Imefikia hatua sasa Ukraine kupewa silaha za maana, hadi hapo visilaha walizokua wanapewa wamefaulu kuilemaza Urusi, sasa wataanza kupata madubwana ya kweli, na Urusi ilishasema atakayeisadia Ukraine kwa silaha atakiona, sasa sijui ndio nini kingine kinasubiriwa, ifahamike hao Poland ni jirani...
Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui."
Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na...
Hii ni article ya muandishi Gab Marcotti aliyeamua kumuangalia Messi kwa dakika zote aone anchofanya - very interesting read...
DOHA, Qatar -- The conceit was simple, ahead of Argentina's final group game against Poland: What if you simply watched one player for 90 minutes? And that player, one...
Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza.....
Kwa sasa hivi...
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi walivyokuwa wanamtafuta kwa kitendo chake cha kuvamia Ukraine. Ni wakati gani tena bora wa kumfumua mtu...
Kombora hilo limesababisha vifo vya watu wawili katika Kijiji kimoja Nchini Poland lilirushwa na vikosi vya Ukraine wakati vikizuia mashambulizi kutoka kwa Urusi
Maofisa wa Marekani ambao hawakutaka kutaja majina yao wamebainisha kuwa tukio hilo lilitokea wakati Urusi ikishambulia miundombinu...
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali...
Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi.
Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
Russia imerusha kombora na kutua Poland
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported.
Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili.
Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana...
"The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Tuesday at the symbolic inauguration of the Baltic Pipe...
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati
Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake...
Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana.
=========
European Union foreign ministers have agreed to suspend a visa agreement with Moscow, making it harder for Russian citizens to obtain entry...
Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini!
Aisee ni jambo la...
Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia
Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
Vita vimeiharibu vibaya Ukraine, sasa Poland imeikatia mafuta ya bure.
Wakati nchi za Ulaya zikiendelea kudai kuwa ziko pamoja na Ukraine kwa hali na mali na kwamba ziko tayari kuisaidia nchi hiyo iwapo Russia itafunga bomba lake la gesi isiingie Ukraine, sasa hivi nchi jiran ya Poland imesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.