Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi.
Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
Kwa mtazomo wangu najua kila mtu anajua yeye ni wa motoni au wa peponi.
Kwasababu unaposema hujui wew utaenda wapi maana yake huyatambui mema na mabaya
Asanteni.
Nawasilisha
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
Ukitaka kwenda peponi baada ya kifo chako, basi, sali, tenda matendo mema na ISHI KIFUKARA! Ndio, namaanisha! Fanya kazi yoyote halali lakini sehemu kubwa ya kipato chako kitumie kutimiza wajibu wako na hakika kusaidia masikini!
Huwezi kutumikia mabwana ( masters) wawili, so they say...
Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume
Tuanze na
MAUMBILE
Mwanamke
Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
Kunausemi unasemaga ukistaajabu ya Musa.
Leo katika jiji la Arusha aliyekuwa kamanda wa chama cha Demcrasia na Maendeleo Chadema Ally Bananga alirudisha kadi ya chama hicho katika mkutana mkubwa wa adhala wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Hassan, Kamanda huyo wa zamani...
Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa...
Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni nani kati yetu alietambua kua furaha ambayo Wanasimba tungeipata Mei 8 si lolote kama furaha ambayo...
Ooh, ni huzuni, ni majonzi, ni maombolezo. Mwenzetu ametutoka akiwa bado kijana. Alikuwa mwema sana, tena mkarimu. Hakupenda ugomvi, fitina wala chuki. Hakuwa mchoyo wala bahili. Wote waliokuwa wakimuomba awakopeshe pesa, walipewa mikopo tena bila masharti. Na wale walioshindwa kurudisha mikopo...
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya bongo anapoteza muda na kipaji chake.
Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Chama?
Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati
Imetolewa: Mei, 2020
Mawasiliano: 0713538427
MOJA
MIADI!
Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.