paris olympic 2024

  1. S

    Zaidi ya wanamichezo 100 warudisha medali za Olimpiki 2024 zilizoharibika

    Zaidi ya wanamichezo 100 walioshinda medali kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Paris nchini Ufaransa mwaka 2024 wamelazimika kuzirudisha medali hizo kwenye kamati ya maandalizi ya Olimpiki kutokana na kupata kutu au kuharibika kwa namna nyingine. Baadhi ya wanamichezo waligundua...
  2. Damaso

    Tanzania Tupate Angalau Medali Moja Katika Michezo ya Paris Olympics 2024

    Wanamichezo watatu wa Tanzania walioko Paris kwenye michezo ya 33 ya Olimpiki ya majira ya joto ya Paris 2024 wameendelea na mazoezi makali chini ya makocha wao, wakijiandaa kwa michuano yao inayoanza rasmi kesho Jumatatu Julai 29, 2028. Tanzania itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano...
Back
Top Bottom