papa fransis

  1. T

    SI KWELI Papa Francis amefariki leo, Februari 24, 2024

    Je hii ni kweli?
  2. Suley2019

    Papa Fransis asema walitaka kumuua alipokuwa Iraq 2021

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amefichua siri kuwa Watu walipanga kumuua wakati akiwa safarini nchini Iraq March 2021 lakini mauaji hayo yalizuiwa baada ya kupata taarifa za kiintelejensia kutoka Nchini Uingereza. Papa amefichua njama hizo za jaribio la mauaji yake kwenye kitabu cha...
  3. C

    Papa Fransis kikaangoni tena, arudia kauli yake dhidi ya ushoga kwenye kikao cha faragha

    Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
  4. Mr Why

    Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

    Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali Kuumwa na nyuki...
  5. ChoiceVariable

    Papa Fransis: Msiigeuze Mediterania kuwa Bahari ya Mauti na Kaburi la Heshima la Wahamiaji wa Kiafrika

    My Take Inakuaje Miafrika inajua kabisa inakataliwa na kutumbukizwa kwenye Bahari lakini inalazimisha kwenda Ulaya? Wacha wafe Sina huruma na ujinga Mimi. ---- MKUU wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelaani kile alichokiita "uzalendo wa uadui" na ametaka Ulaya iungane kushughulikia...
Back
Top Bottom