Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo kuanzia leo Ijumaa, Machi 7, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri...
Papa Francis anaendelea kupata nafuu huku akiendelea kupambana na nimonia pande zote mbili, Vatican ilitangaza Ijumaa, lakini hatatoongoza ibada ya kila mwaka ya Kanisa inayofungua kipindi cha Kwaresima cha Wakristo wiki ijayo.
Francis, mwenye umri wa miaka 88, sasa amekaa hospitalini Gemelli...
HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU
Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua.
Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini.
Upungufu wake wa chembe...
Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
Ndugu zangu Watanzania,
Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Vatican Madaktari wake wamebaini ugonjwa huo baada ya vipimo vya...
HABARI WANA JAMII FORUM
Nasikia kitaalamu samaki aina ya papa na jamii za samaki wa aina hii huwa wana kiwango kikubwa Cha kemikali ya madini ya mercury na ni hatari kwa afya ya mwanadam
Je swala hili kitaalamu ni Kweli?
Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana.
Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa Mratibu ndani ya Kitengo cha Kwanza cha Uinjilishaji na Makanisa Maalum cha Baraza la Kipapa la...
Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa.
Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri...
Mtu inabidi amwambie huyu Papa feki kwamba Yesu alizaliwa, alilelewa, aliishi na alikufa kama myahudi aliyeishi Judea.
======================================
Pope Francis unveiled the annual nativity scene at the Vatican on Saturday, which this year featured baby Jesus dressed in a Palestinian...
Haya tena Papa Francis naye acharuka:
Hivi hawa wenye kujua kinacho hitajika kuwa ni kukaa chini na kuongea amani ni wafuasi wa nani?
Kwamba siyo wenda wazimu?
Ni maswali nyeti sana haya kwa wenye akili zao.
Wanaukumbi.
NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda...
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu.
Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
Tukumbuke jamani hii nchi imeshawekwa chini ya ulinzi wa bikra maria baada ya ujio wa papa Paul wa pili hivyo tuna baraka tele.
Hatuna ukabila kwa sababu bikra maria yu kazini.
Maamdamano hayatawezekana kwa sababu bikra maria yu kazini.
Violence za namna yoyote zinazoratibiwa na akina Lissu...
Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne.
Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
Hizi majuzi Papa Francis amelazimika kuomba radhi hadharani baada ya taarifa kuvuja kwamba kwenye kikao cha hivi karibuni na makadinali 250 wa Italia, Papa alitukana mashoga.
Kwenye kikao hicho binafsi Papa Francis alitumia maneno makali sana dhidi ya mashoga na ushoga. Zaidi Papa alionya...
Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.