"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli...
Namsikiliza hapa eti kwa sababu Taifa Stars inacheza kitu kinaitwa mini tournament basi haitambuliwi na CAf wala Fifa wakati iko kwenye week ya kalenda ya FIFA.
What a waste HIVI HAYA MAMTU YANAPATAJE HIZI KAZI ZA UCHAMBUZI?
Jesus Christ, God damn it
Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo ya Dstv,M_bet na Asas.
Mbali na kutafuta umaarufu mavi[emoji90],mwandishi huyu anaitumia yanga...
"Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa Mashabiki wa Simba SC kuitafuta na Kununua kwani ni Jezi nzuri na inaonyesha kweli Simba SC ni next...
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata"
Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar
Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii?
Chanzo: Twita Akaunti yake.
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwenye vyombo vya habari , anadai amepokea Email kutoka Kamati ya Uchaguzi kwamba Amekatwa.
Ameahidi kutoa ufafanuzi zaidi baadaye kidogo
" Kinachoendelea Yanga SC na huu mkanganyiko kuhusu wao kucheza au kutocheza Mechi yao na Simba SC tarehe 3 July, 2021 ni Uthibitisho rasmi kuwa Yanga SC sasa imejaa Wahuni na inaongozwa Kihuni. Na katika hili Yanga SC wasitake Kuwaficha Mashabiki wao bali waseme tu kuwa wanaiogopa hii Mechi...
Tafadhali aambiwe upesi hizi ' Interviews ' zake alizozianza Jana (baada ya Kuchukua Fomu) na hii ya Leo ya Wasafi FM zitamponza.
Aachane nazo mara moja kwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.