noise pollution

  1. Mindyou

    Pre GE2025 Wanasiasa mmejipangaje kupunguza tatizo kelele (Noise Pollution) kwenye kipindi hiki cha kampeni za Uchaguzi?

    Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya watanzania wana matatizo ya moyo yaani kitaalamu CVD. Hii ikanipa kihali hasa katika kipindi hiki...
  2. N'yadikwa

    KERO Jiji la Mbeya lina noise pollution ya kiwango kikubwa sana mchana

    Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji. Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara. Ni kero kubwa sana.
  3. Waufukweni

    Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  4. A

    KERO Kelele usiku kucha Mtaa wa Alesika, Mbezi Beach kutoka Amigos Pub na Kanisa la Angels Ministry ni kero kubwa, tumechoka!

    Sisi wakazi wa Mbezi Beach kwa Komba mtaa wa Alesika Road jirani na Ofisi za Airtel tunateseka kwa kulazimika kukesha pamoja na waumini wa kanisa la Angels Ministry ambao wapo kushoto kwetu na Amigos Pub ambayo ipo kulia kwetu. Wanakesha kwa makelele usiku kucha na kuondoka saa 11 asubuhi. Kwa...
  5. J

    KERO Makanisa kupiga kelele usiku kucha na mchana kutwa Kahama/Lugera

    Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo hapo karibu na Mnazi mmoja (la mabati) limekuwa nikero. Ikifika alasiri wanaweka flash...
Back
Top Bottom