Wana JF.
Tangu uwepo ugonjwa wa Corona, mapambano ambayo NIMR imeyafanya , imejiongezea umaarufu na kujikutabinajulikana sana baada ya kutengeneza Tiba lishe mbali mbali kupambana na COVID19. Kabla ya hapo watanzania wengi walikuwa hawajui kama kuna kitu kama NIMR kinafanya utafiti wa Tiba...
Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba...
Tunawapongeza NIMR kwa hatua mliyofikia.
Isipokuwa nina ushauri kwenu, tibalishe/dawa za wenzenu mzifanyie utafiti au majaribio mapema. Sio vizuri kuziacha muda mrefu hadi pale mtakapoifikisha ya kwenu katika hatua nzuri. Kama mlivyosema ya kwenu ni rahisi kuharibika (angalia video chini) na...
Wadau kwa sasa kuna dawa ambayo inapigiwa upatu kwamba inasaidia kuongeza kinga ya mwili dhidi ya corona. Ni mchanganyiko wa vyakula vya asili. Inaitwa NIMRCAF.
Kama kuna yeyote anaifahamu utuambie inapatikana wapi.
===
ZAIDI KUHUSU DAWA HII SOMA HAPA
= > NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza...
Taasisi ya Utafiti NIMR imefanikiwa kutengeneza dawa lishe itakayowasaidia wenye maambukizi ya Corona kukabiliana na virusi hivyo.
Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema dawa hiyo inasaidia kufungua kifua kwa wale wanaobanwa pumzi na kuwapa wepesi wa kupumua.
Prof Mgaya amesema dawa hiyo ina...
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema mzigo wa magonjwa ya saratani upo kwa wanawake kwa asilimia 70.
Pia imesema hakuna takwimu za kuthibitisha Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya saratani nchini.
Hayo yalielezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Prof...
Zika na NIMR
Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake.
Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.