nicolás maduro

  1. Yoda

    Marekani yaweka dau nono la $25M kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro

    Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism). Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea...
  2. Webabu

    Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

    Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo. Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake. Inaua sana kila nchi lakini wengine wakifanya hivyo huitwa magaidi. Leo imeteka ndege ya raisi mzima wa nchi ya Venezuela kisingizio...
  3. X

    Elon Musk anaunga mkono sana mapinduzi ya kijeshi yatokee Venezuela. Kuna siri gani nyuma ya hili?

    Jana matokeo ya uchaguzi yalipotoka ilitangazwa kuwa Nicolás Maduro ameshinda tena kiti cha uraisi nchini Venezuela. Akimshinda mpinzani wake Edmundo González ambaye anaungwa mkono na Marekani. Viongozi wa mataifa ya Magharibi wameonyesha kutofurahishwa na matokeo hayo. Huku vyombo vya habari...
  4. J

    Venezuela: Wananchi wazua vurugu wakipinga Urais wa Nicolas Maduro

    Kufuatia matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais wa Venezuela Nicolas Maduro maelfu ya wananchi wameyapinga na kuzua vurugu katika jiji la Caracas. Hasira za umma ziliongezeka baada ya baraza la taifa la uchaguzi CNE Jumatatu kutangaza rasmi kuwa Maduro alichaguliwa tena na wapiga kura wengi...
  5. Lady Whistledown

    Venezuela: Nicolás Maduro atangazwa Mshindi wa Urais, Upinzani Wapinga

    Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE), Elvis Amoroso - ambaye ni Mshirika wa karibu wa Maduro amesema kwa 80% ya kura zilizohesabiwa, Rais Maduro alikuwa na 51.20% Mpinzani wake Mkuu, Edmundo González anatajwa kupata 44.02% ya Kura zote, huku Upinzani ukisema alipata 70% na ndiye Rais...
  6. BARD AI

    RIPOTI UN: Rais Maduro anatumia Idara za Usalama kufanya uhalifu dhidi ya binadamu

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa imemtaja Rais Nicolás Maduro kuhusika na kuagiza vyombo vya usalama kutekeleza unyanyasaji dhidi ya wakosoaji kwa lengo la kufuta kabisa upinzani nchini humo. Maduro na kiongozi wa chama tawala cha PSUV, Diosdado Cabello wametajwa kutoa amri kwa Idara za Kijasusi...
  7. beth

    Marekani yamfungulia mashtaka Rais Nicolás Maduro wa Venezuela

    The US has charged Venezuela's President Nicolás Maduro and other senior officials in the country with drug trafficking crimes. The move, which will increase tensions between the two nations, was announced by Attorney General William Barr. The US also offered a $15m (£12.5m) reward for any...
  8. Nalendwa

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela Anusurika Kuuawa

    Rais wa Venezuela amenusulika katika jaribio linalosemekana la kutaka kumuua kwa kutumia drone device, wakati akihutubia mkutano mjini Caracas. Rais Maduro hakupata madhara yoyote katika tukio hilo ingawa wanajeshi saba waliumia. Television ya Taifa ilionyesha hotuba ya Rais ikikatishwa ghafla...
  9. radika

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela asema Afrika ilishinda Kombe la Dunia

    Afrika iliishindia Ufaransa kombe la Dunia, na Ulaya inafaa kusitisha ubaguzi dhidi ya wahamiaji kulingana na rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Akizungumza katika mji mkuu wa Caracas, chombo cha habari cha kitaifa kilimnukuu akisema. Paul Pogba asherehekea na wenzake baada ya kufunga bao...
Back
Top Bottom