Salam wana JF.
Nina matumaini yangu wote mpo salama. Napenda kuwaeleza juu utendaji dhaifu wa mamlaka ya Ngorongoro. Jana jioni magari mawili (fuso 1 na basi 1) yalikwama na kufunga barabara, iliyopelekea wageni waliokuwa wanataka hifadhi ya Serengeti kuelekea, Ngorongoro crater, Karatu na...
Ukame na njaa inayoendelea kutikisa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeno nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa huyari kutoka Bonde la Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomero katika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wajuta.
mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, RAYMOND MANGWALA alisema kutokana na...
Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu.
Walalamikaji wa Wamaasai walitaka Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) iizuie serikali ya Tanzania kuwaondoa...
Tangu zoezi la kuhamisha watu walioamua kuhama kwa hiyari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia msomera kuanza na kuendelea kwa Wengi wa wananchi hao wameamua kutoa ushuhuda wa namna ambavyo maisha yao mapya ya Msomera yalivyo bora na salama kulinganisha na walipoluwa wanaishi hifadhini...
Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi kwenye eneo hilo.
Naibu Kamishina wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dk Christopher...
Kuondoka kwa hiari wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni faida kubwa zaidi ya hasara kwa usalama wa mazingira yetu ambayo kila kukicha yanakosa uendelevu.
Watanzania tuna kila sababu ya kulitunza eneo hilo kwa faida ya kizazi cha sasa na cha baadae kwani thamani...
Naelewa hii mada imeongelewa sana ila naomba nije kwa namna nyingine
Najua naeza nikawa naandika kitu ambacho labda kishapitwa na muda kutokana na serikali yenyewe pamoja na watu wake kuliweka cold,,
Xenophobia ilitokea south africa wasanii reacted
George floyd wakatoa hadi nyimbo i...
UTEUZI
Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa?
Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
Uelewa wangu mpaka sasa ni kwamba Ngorongoro ni hifadhi na eneo la urithi wa dunia. Ni eneo lililotengwa kwa sababu ya upekee wa binadamu ambao ni Masai wanaishi na wanyamapori uku wakifanya shughuli zao in a traditional way.
Serikali inataka kuwaondoa Wamasai wote Ngorongoro kwa sababu ya...
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa wakazi wa Loliondo wanaonewa, kuumizwa na kudhulumiwa haki zao wakati ardhi ni haki yao.
Ole Shangai amerudia tena msimamo wake kuwa kuna wananchi wake ambao waliumizwa na lakini wakanyimwa PF3 na hivyo kuwafanya...
Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro
Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja
Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo:
1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Godbless Lema
4. Peter Msigwa
5. John Heche
6. Sugu
7. Freeman Mbowe
8. Ezekiel Wenje
9. Halima Mdee (enzi hizo akiwa Chadema)
10. Ester Bulaya (akiwa Chadema)
Halafu, anakuwa na flanks toka kwa Ole...
Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa.
Hivi zile sababu zilizosababisha ndugu zetu Wamasai wachanganywe na wanyamapori ziko mpaka leo...
Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili
Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.