napoli

  1. T

    Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
  2. Manyanza

    Napoli yapoteza wafuasi milioni 1.2 baada ya kumuachia Osimhen

    Masaa 48 baada ya Victor Osimhen kutangazwa kama mchezaji mpya wa Galatasaray, Napoli imepoteza zaidi ya wafuasi milioni 1.2 kwenye Instagram baada ya Victor Osimhen kuondoka katika klabu hiyo. Wakati huo pia Klabu ya Galatasaray imepata wafuasi zaidi ya milioni 2 kwenye Instagram ndani ya saa...
  3. Waufukweni

    Mashabiki wa Galatasaray wapagawa kuwasili kwa Osimhen

    Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao. Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
Back
Top Bottom