Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika...
Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki.
Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote.
Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO
Na Shemasi Jimmy 0659611 252
Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa.
Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa,
Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali ,
Natanguliza shukrani wakuu
PUTIN NI SHAHIDI, MTUME NA NABII WA ZAMA ZETU. NAMUUNGA MKONO.
Na, Robert Heriel
Shahidi.
Tunaojua Dunia ilipotoka, ilipo na wapi inaenda, tutabaki kuwa Wafuasi watiifu wa falsafa za Ki-putin.
Putin ni mtakatifu, Shahidi na shujaa ambaye anaitumia nafasi na Cheo chake vizuri kutekeleza utume...
Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
Katika hali isiyo ya kawaida mchekeshaji aliyejizolea umaarufu mitandaoni Jackson Sakwile maarufu kama “Mkaliwenu “ametunikiwa gari la kifahari aina ya BMW X5 na Nabii maarufu nchini Dk GeorDavie baada ya kukunwa na mashairi ya nyimbo aliyoitunga kwa ajili yake.
Tukio hilo lilitokea hivi...
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na...
.
Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie.
Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
Nikiwa mitaa ya hapa mjini kati karibu na stendi kubwa halimashauri ya mji kahama mara namuona mtu aliyebeba mabango akipita mbele yangu huku akiwa mengine ameyakilia nilivomtazama zaidi niligundua ni nabii tito ,hivi huyu mtu ajapona tu au kuna watu wapo nyuma yake.
Pia amewezaje kufika huku...
Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.
Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.
Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
Ninawi ni wapi?
Ninawi ni mji uliokuwepo kaskazini mwa Taifa la Iraq kwasasa. Mji huu kwasasa haupo, ila mahali pale ulipokuwepo mpaka leo pako!. Na mji huu ndio uliokuwa mji mkuu wa Taifa la Ashuru.
Ashuru ilikuwa ni nchi iliyokuwepo maeneo ya Iraq, Uturuki, na Syria..Mataifa haya matatu...
Mughonile!
Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili. Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako. Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo nilimuarisha aachane na manabii wa upako, akakubali. Ndipo nilipomuoa Kwa ndoa takatifu ya kikristo...
Kabla sija anza kutoa unabii wangu najua WaPo watu watakao kuja na hoja kwamba Shillah hana vigezo Kwa kuitwa Nabii and blah blah blah .
Kama ulikuwa kwenye kundi la watu wanao fikiri kwamba Nabii Shillah hastahili kuitwa Nabii basi inawezekana wewe hujaisoma Biblia vizuri.
Ungekuwa umeisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.