#Kutoka_mwanasport
Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison.
Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba.
Mwenye Nguvu mpishe tu.
Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita.
Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
Haya ngoja tuone
Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison
Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO.
Swali ni kama Morriso anasema ukweli ni kwanini CEO, Barbara audanganye umma kuhusu huyu mchezaji, je, kuna nini anakificha...
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.
"Hii ni kutokana na nyinyi...
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji...
Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake.
Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako wakimaanisha kuwa aende mbele kwa mbele huko hata kabla ya msimu kumalizika kuonyesha kuwa hawana kazi...
Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii.
Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
Bm 3 ana deals 2 moja kwenda sudan au saudi arabia na mshahara ni mkubwa sana ,tatizo ni kwamba kule starehe hakuna sijui kama ataweza.
Kingine kikubwa ni kipa wa Dodoma jiji aitwaye Mohamed Yussuph ambaye yuko kwenye kiwango bora sana anahitajika huko sudan pia
Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA!
Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji kikubwa sana Cha soka lakini katika maisha umekuwa? ukiwakatisha tamaa wale ambao wangeweza kulea...
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana.
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
Benard Morrison ni kama Ex aliyeondoka kwa dharau sana na kila tulipokutana nae alitudhihaki.
Je, unakubali kumpokea Morrison katika klabu yetu tena? Morrison anaenda kucheza nafasi ya nani?
Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo!
Morrison naye pia hayupo?!
Pablo anaihujumu Simba?!
Nb;
Simba ya makaratasi uwanjani leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Bernard Morrison hawezi kuingia ndani ya ardhi ya Afrika Kusini kutokana na kuwa na kizuizi cha kuingia nchini humo.
Morrison kabla ya kujiunga na klabu za Yanga na Simba alishawahi kufanya kazi...
Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze Faulo apate Kadi Nyekundu ili sababu ya Yeye kutoenda Afrika Kusini katika Mechi ya marudiano na...
CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI
Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022.
Matokeo hayo ya michuano hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.