Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku Mbili kabla ya Mechi yoyote na akimaliza Kucheza Siku hiyo hiyo anarudi Dar es Salaam kuendelea kula...
Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽
Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
KenGold imemsajili winga wa zamani wa Yanga na Simba, Bernard Morrison kwa mkataba wa miezi sita huku ikikaribia kuwanasa Kelvn Yondani na Obrey Chirwa.
Timu hiyo inaonekana kuweka kipaumbele kwa wachezaji huru ili kutolipa ada za uhamisho katika dirisha hili dogo la usajili linaloendelea kwa...
Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa.
Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea.
Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
Mzee wa mbwembwe kibao
Mzee wa kuwakera, mara ya mwisho kumskia alikuwa analia na raisi apewe uraia wa Tanzania.
Yuko wapi sikuizi au ndio mpira kushnei?
Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee.
Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
Ikiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya klabu bingwa hatua ya makundi.
Mechi ya awali iliisha kwa Far Rabat kufungwa goli moja na leo wakiwa...
Na Mashabiki wa Timu yako wengi wao wasivyo na Akili wakaanza Kuamini kuwa Five Five za Kubahatisha FC watamsajili Kiungo Mshambuliaji Makabi Lilepo na hatimaye dirisha la Usajili limepita Jana hajaja.
Haya haraka sana tafuteni Pesa za Kuwalipa akina Morrison na Doumbia kabla hawajaenda FIFA na...
Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki.
Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi.
Mambo kama haya yanaathiri saikolojia ya refa na maamuzi yake ya baadaye. Ni Morrison pekee ndiye anaweza uhuni huu...
Y
YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi nchini Nigeria.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga kupitia kwa Kocha msaidizi Cedric Kaze...
Hawa watu niliwakataa
1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo.
2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu.
Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo alipewa adhabu hiyo na wachezaji wengine wawili wa klabu hiyo, Djuma Shaban na Farid Mussa ambao kwa ujumla wamekosekana...
"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza...
3ANAANDIKA Mchao Tv
KWA MFANO TU
Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi.
Kwa mfano Bodi ya Ligi...
Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba
Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa?
Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.