mbwana samatta

  1. Petro E. Mselewa

    Nimeridhika kabisa: Mbwana Samatta hakuwa msaada kwa Aston Villa, Watkins ameonesha utofauti mkubwa

    Kwa kiwango chake, ufungaji wake, kazi yake, umakini wake na mchango wake kwa timu mchezaji mpya wa Aston Villa Ollie Watkins amedhihirisha kuwa mshambuliaji Mbwana Samatta hakuwa msaada wowote kwa timu hiyo. Watkins ambaye amefunga mabao matatu katika kipigo cha mbwakoko alichokipata Liverpool...
  2. my name is my name

    Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

    Mtanzania aliekuwa anachezea Aston villa (AVC) ya England sasa amesajiliwa na timu ya Fenerbahce ya Uturuki. ====== Mshambuliaji wa kitanzania aliyekuwa anakipiga ligi kuu ya Uingereza, Mbwana Sammata sasa ni rasmi Fernabache ya Uturuki akitoka Aston Villa. Kabla Samatta alicheza vilabu vya...
  3. southern boy

    Mbwana Samatta na App ya SamaPay - Haya ni mapungufu niliyoyaona

    Habari za humu!! Kipindi cha siku mbili zilizopita nimeona matangazo na baadhi ya video za youtube zikielezea kuhusu hii app ya SamaPay ambayo imeanzishwa na mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Ali Samatta. Kwanza ningependa kutoa hongera kwa uamuzi wake huo wa kufikiria na kufanya kitu...
  4. M

    Mbwana Samatta apewe Shahada ya Udaktari wa Heshima

    Napendekeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimtunuku Mbwana Samatta shahada ya udaktari ya heshima (Honoris Causa) kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya mchezo wa soka. Mchango wake unatokana na mambo yafuatayo:- 1. Amekuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya daraja la kwanza ya...
  5. Babu Kijiwe

    Maoni yangu: Mbwana Samatta ndiyo basi tena

    Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili: 1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...
  6. M

    Mbwana Samatta awa mshindi wa goli la mwaka Genk

    Fuatilia link hii kupata taarifa zaidi.
  7. M

    Watanzania tunamharibia Mbwana Samatta.

    Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi...
  8. George Betram

    Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

    Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge. Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto. Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Back
Top Bottom