maxence melo

  1. Mwl.RCT

    Maxence Melo Mubyazi, Tanzania: 2019 International Press Freedom Awards

    CPJ is honored to present its 2019 International Press Freedom Award to Maxence Melo Mubyazi, a champion of online freedom of expression in Tanzania. He is the co-founder and managing director of Jamii Forums, a popular East and Central African website and discussion forum that is a source of...
  2. Erythrocyte

    Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

    Kupitia mitandao yake ya Kijamii, Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums Maxence Melo ameandika... ‪DAKIKA CHACHE KABLA YA KIKAO IKULU YA MAREKANI...‬ Ujumbe wangu kwa vijana: ‪Usikate tamaa - kama unaamini katika jambo, lisimamie‬. Vishawishi vya kukukatisha tamaa havina budi...
  3. Kidagaa kimemwozea

    Tumuache Maxence Melo na JamiiForums yake afanye kazi yake

    Hujambo mdau na msomaji wangu, Leo imenipendeza kulijadili hili swala, wewe mwenyewe utakuwa ni shahidi kwa namana, watu mbalimbali hasa vijana wanapo chakata akili zao na kuja na jambo la kimaendeleo namna wanavyo kumbana na changamoto mbalimbali zinazotokana na fikra hasi miongoni mwa pengine...
  4. Fortunatus Buyobe

    Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

    BARUA YA MAJIBU YA AWALI. Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; DAR ES SALAAM. Tarehe15 Julai, 2019. Nakiri kupokea barua yenu ya tarehe 15 07/ 2019 ambayo mliisaini wote wawili, na ikawasilishwa kwangu kwa mkono na Mhe...
  5. The Consult

    Fursa kwa Asasi za Kiraia Tanzania, zaidi ya Bilioni Moja kutolewa kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi

    Umoja wa Ulaya (European Union) wametoa wito kwa ajili ya kuwasilisha maandiko ya miradi (Concept Notes) kwa Asasi za Kirai nchini Tanzania. Lengo mama (Overall Objective ) la E.U katika wito huu (Call for Proposals) ni kuimarisha Asasi za Kirai na watetezi wa haki za binadamu katika juhudi...
  6. Roving Journalist

    ‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

    Heshima kwenu wakuu, Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amempongeza Maxence Melo muanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU. Ni jambo jema kwa waanzilishi wa JAMIIFORUMS na Tanzania kwa ujumla. Tunafungia vya kwetu kwa hiari, tutatumia vya wenzetu kwa lazima. MAXENCE MELO...
  7. Roving Journalist

    Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

    Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Juni 01, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu. Akisoma shauri hilo Hakimu Godfrey...
  8. JamiiForums

    Kilichojiri Kisutu: Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums

    Habari Wakuu, Shukrani za dhati kwa wale wote ambao wamekuwa nasi katika safari hii toka Disemba 2016 hadi sasa. Kuweka wepesi kwa wadau mbali mbali ambao wamekuwa wakifuatilia mienendo ya Kesi zinazowakabili Mkurugenzi Mtendaji, ndugu Maxence Melo na mwanahisa wa Jamii Media ndugu Micke...
  9. JamiiForums

    Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

    Wakuu, Leo Kesi namba 456 inayowakabili Maxence Melo na Micke William imeendelea tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba kwa kusikilizwa Shahidi wa tatu na wa nne katika kesi hii. Tayari shahidi wa kwanza kwenye kesi hii alishafanyiwa mahojiano na kutoa...
  10. JamiiForums

    Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai waliomba taarifa za mteja bila kutaja ni kwa mujibu wa sheria gani

    Wakuu, Leo Kesi namba 456 inayowakabili Maxence Melo na Micke William imeendelea tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba kwa kusikilizwa Shahidi wa tatu na wa nne katika kesi hii. Tayari shahidi wa kwanza kwenye kesi hii alishafanyiwa mahojiano na kutoa...
  11. Geza Ulole

    Tanzania’s anti-corruption government is stifling the “Swahili Wikileaks”

    Africa SUSPENDED REALITY Tanzania’s anti-corruption government is stifling the “Swahili Wikileaks” Abdi Latif Dahir December 12, 2017 Not so rosy presidency. (AP Photo/Khalfan Said) Dar es Salaam Maxence Melo is a man who knows the insides of Tanzania’s courthouses all too well. In...
  12. Roving Journalist

    Sehemu ya II: Jamhuri vs JamiiForums kuhusu Oilcom na Uchakachuaji mafuta/Ukwepaji Kodi bandarini Dar

    Habari Wakuu, Kutoka Kisutu, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William inaendelea kuunguruma leo Mahakama ya Kisutu. Kesi hii iliahirishwa jana, hivyo leo inaendelea. Kujua kilichojiri...
  13. Roving Journalist

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Habari waungwana, Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William imeanza kuunguruma Rasmi Mahakama ya Kisutu...
  14. Queen V

    Maxence Melo Charged with Obstruction of Investigations and Operating a Domain Not Registered

    Jamii Forums Founder, Maxence Melo has been charged with three offences before a court in Dar es Salaam, Tanzania. The charges are: 1: Management of a domain not registered in Tanzania under Section 79(c) of the Electronic and Postal Communications Act (2010). 2: Obstruction of investigations...
Back
Top Bottom