mawio

  1. Melki Wamatukio

    SI KWELI Jua tunaloliona nyakati za mawio na machweo sio jua halisi

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii situation ikijadiliwa kuwa wakati wa mawio hadi kufikia mida ya saa 2 na pia mida ya kuanzia saa 12 kasoro mpaka jua linapochwaa, hilo jua tunaloliona si jua halisi. Ni taswira tu Kuna ukweli wowote kwenye hili?
  2. eldora

    Namtafuta JF member anaitwa Mawio

    Mara ya mwisho kuwasliana na Mawio ilikuwa April mwaka huu naombeni msaada wenu kama kuna mtu anamfahamu
  3. John Haramba

    Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  4. Roving Journalist

    TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  5. M

    UHURU siyo gazeti mama hapa nchini, Gazeti mama ni KIONGOZI

    Wote tumeona Chama Cha Mapinduzi, CCM, kimekanusha taarifa ya gazeti la UHURU kwamba Samia hatagombea urais mwaka 2025. Lengo la habari hii siyo kanusho hilo lakini ni kitaarifa ndani ya taarifa hiyo kwamba UHUR ndilo Adam na Hawa ya magazeti yote hapa nchini. Hivi ndivyo ambavyo historia...
Back
Top Bottom