Habarin Wana JF,
Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ndoto zangu ni kuendelea na masters baada ya kuhitimu kuhusu GPA nina 4.1 first year naimani itarange humo Hadi 3.8 minimum (final year).
Hivyo ningependa kujua km kuna scholarship na namn ya kupata ktk moja...
Habari.
Kwasasa dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la elimu za walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani. Kwa mfano, kwa Tanzania muundo wa kiutumishi wa walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia elimu ya cheti hadi shahada ya...
Habari wana JF
Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili...
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.
Itawezekana muajiri kunikubalia coz...
Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS
Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY
Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university.
Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters
Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya elimu ni Masters au katika kufanya maombi nisiseme kuwa nina Masters nionyeshe tu nina Bachelor...
Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi...
Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri
Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo mengine maana nna interest na Mambo ya uhandisi, nawaza nianze diploma ya engineering then degree hasa...
Habari wanaJF
Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters lakini kwenye kitabu hicho.
Hii inamaanisha hizo kozi hazitambuliki na TCU? Au TCU wamevisahau...
Habari members!
Naombeni muongozo ni masters ipi naweza kusoma undergraduate nimemaliza B.sc in civil engineering.
N.B: mimi ni muajiriwa serikalini.
Options nilizofikiria
1. Kufanya distance learning ambapo option ni OUT au UDSM
-Kwa OUT kozi ni MBA au Masters ya Project management. Au...
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.
Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.
Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
Habari wanajamii
Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile
Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani...
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao.
Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.