Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100%...
Salam wanajamii Forums!
Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI.
Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani
Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
Habari wanaJF.
Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila...
Ni miaka mingi Sasa walimu Hawa wenye Shahada ya Pili ya ualimu na wale wenye PhD ya ualimu, wamekuwa hawapati ongezeko lolote la mshahara mara baada ya kumaliza elimu zao za juu, tofauti na ilivyo kwenye idara zingine Kama afya nk. Ambapo Shahada ya Pili huwa inatambuliwa.
Ombi: TUNAOMBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.